sw_tn/2ki/22/01.md

28 lines
855 B
Markdown

# miaka thelathini na moja
mwaka mmoja - "miaka 31"
# Yedida
Hili ni jinala mwanamke.
# Adaye
Hili ni jina na mwanamume.
# Bozkathi
Hili ni jina la mji wa Yuda.
# Alifanya yale yaliyo sawa usoni kwenye macho ya Yahwe
Hapa "macho" inawakilisha mawazo ya Yahwe au kile anachokiwaza kuhusu jambo. "Alifanya ambacho Yahwe alikiona ni sawa" au "Alifanya kile kilichokuwa sawa kutokana na Yahwe"
# Alienenda katika njia zote za Daudi baba yake
"Alitembea katika njia zote za Daudi baba yake" Yosia alitenda kama Daudi alivyofanya anazungumzia kana kwamba alitembea kwenye njia moja au kama njia ya Daudi. "Alifuata mfano wa Daudi baba yake"
# hakugeuka wala upande wa kulia au kushoto
Kumtii Yahwe kikamilifu kunazungumziwa kana kwamba mtu alikuwa kwenye barabara sahihi na hakurudi kutoka kwayo. "hakufanya chochote ambacho hakikumpendeza Yahwe"