sw_tn/2ki/21/24.md

336 B

watu wanchi

Huu ni ujumla. "baadhi ya watu wa Yuda"

njama dhidi

"kufanya mipango na kufanya kazi pamoja kudhuru"

hayajaandikwa ... Yuda?

Hili swali halina majibu na linatumika kusisitiza. "Yameandikwa ... Yuda"

bustani ya Uza

Maana ziwezekanazo ni 1) "bustani ambayo ilimilikiwa na mtu aitwaye Uza" au 2) Bustani ta Uza.