sw_tn/2ki/21/04.md

893 B

Maelezo ya Jumla:

Hadithi ya utawala wa Mfalme Manase inaendelea.

Jina langu ndipo litakuwa Yerusalemu milele

Jina ni picha kwa ajili ya mtu. "Yerusalemu ndipo nitalifanya jina langu lijulikane mimi ni nani."

akajenga madhabahu kwa ajili ya nyota zote za mbinguni katika behewa mbili za nyumba ya Yahwe

Inaonekana kwamba, alijenga haya madhabahu ili watu waweze kufanya dhabihu na kuabudu nyota. "alijenga nyota kwenye nyua mbili za nyumba mbili za Yahwe ili kwamba watu waweze kuziabudu nyota na kuzitolea dhabihu"

Alimuweka mtoto wake kwenye moto

Unaweza kuweka wazi kwa nini alimuweka mtoto wake kwenye moto na nini kilitokea baada ya kufanya hivyo. "Alimchoma mwanae kwenye oto hadi kufa kama sadaka kwa miungu wake."

kutaka shauri

"tafuta habari kutoka"

uovu usoni mwa Yahwe

"uovu" "mambo ambayo ..." Hapa "uso" wa Yahwe unarejea au kuamua juu ya thamani ya jambo.