sw_tn/2ki/20/16.md

521 B

Hivyo Isaya akamwambia Hezekia

Kwa nini usemi wa Isaya unaweza kuwa wazi. "Hivyo kwa sababu Isaya alimfahamu Hezekia alivyokuwa mpumbavu kuwaonyesha watu vitu vyake vyote vya thamani, Isaya alimwambia"

neno la Yahwe

"Neno" ni picha kwa ajili ya ujumbe ambao una neno ndani yake. "ujumbe wa Yahwe"

Tazama, siku zinakaribia kuja wakati

"Nisikilize, siku yaja kutakuwa wakati"; "Tazama" imetumika kuleta umakini kwa kile Isaya anachotaka kumwambia Hezekia.

siku

"Siku" inatumika kurejea shubiri isiyoelezeka.