sw_tn/2ki/20/08.md

458 B

Je kivuli kitaenda mbele ngazi saba, au kurudi nyuma hatua saba?"

Chanzo cha kivuli kiendapo mbele hatua kumi, au kirudipo hatua kumi?"

ngazi saba

Haya maelezo yanarejea kwa Ahazi "ngazi za Ahazi" katika 20:10. Hii ilikuwa ni kama ngazi maalumu zilizojengwa kwa ajili ya Mfalme Ahazi katika njia hii kwamba ngazi zake ziliweka alama za masaa kuwa wakati jua lichomoapo kuendelea karibu nao. Kwa njia hii, ngazi zinahumu kueleza muda wakati wa mchana.