sw_tn/2ki/20/04.md

502 B

neno la Yahwe likaja

"Neno" ni picha ya ujumbe wa Yahwe uliofunuliwa kwa Isaya. Hii ni njia ya kawaida ya kuongea, lugha. "Yahwe alizungumza neno lake"

Nimesikia maombi yako, na nimeyaonamachozi yako

Sehemu ya pili inaimarisha sehemu ya kwanza kufanya ujumbe mmoja kwa kutumia usambamba. "Nimesikia maombi yako na kuona machozi yako."

siku ya tatu

"siku mbili kutoka sasa" (UDB) Siku Isaya aliposema hii ilikuwa siku ya kwanza, hivyo "siku ya tatu" ingekuwa sawa na "siku mbili kutoka sas."