sw_tn/2ki/20/01.md

393 B

Weka nyumba yako katika mpangilio

"Nyumba" ni picha kwa kile kilichokuwa chini ya utawala wa Hezekia. "Toa maelezo ya mwisho kwa wafanyakazi wako na serikali"

kukumbuka

Hii ni njia ya kawaida ya kuzungumza, lugha, kumsihi Yahwe kukumbuka. "kumbuka"

tembea

"tembea" ni ishara ya mwenedo wa maisha.

nzuri usoni mwako

Hapa uso unawakilisha hukumu au tathmini. "katika hukumu yako"