sw_tn/2ki/19/32.md

633 B

Maelezo ya Jumla:

Huu ndio mwisho wa ujumbe kutoka kwa Yahwe, uliozungumzwa kupitia nabii Isaya kwa Mfalme Hezekia.

wala kupiga mshale hapa

"Mshale" ni picha ya kuwakilisha vifaa vyote vya kivita na uharibifu.

au kujenga boma dhidi yake

"na wala hawatajenga matuta marefu ya dunia dhidi ya ukuta kuwawezesha kuuteka mji." (UDB)

Hivi ndivyo asemavyo Yahwe

Kwa Yahwe ku "sema" ni ahadi ya Yahwe kuahidi agano au kufanya kile alichokisema atafanya.

kwa ajili yangu mwenyewe na kwa ajili ya Daudi mtumishi wangu

"kwa ajili yangu mwenyewe na kwa sababu ya kile nilichokiahidi kwa Mfalme Daudi, aliyeniokoa vema." (UDB)