sw_tn/2ki/19/27.md

784 B

Maelezo ya Jumla:

Hii inaendeleza ujumbe kutoka kwa Yahwe, uliotoklewa kwa Isaya, nabii, kwa Mfalme Hezekia kuhusiana na Mfalme Senekeribu.

kuyafikia masikio yangu

"hasira yako inapiga kelele kuhusu mimi,"

kwa sababu kiburi chako kimeyafikia masikio yako

"Masikio" ni picha ya kusikiliza au kusikia. "kwa sababu nimesikia maneno yako ya majivuno,"

Nitaweka kulabu yangu kwenye pua yako, na hatamu yangu kwenye mdomo wako

"Kulabu" na "hatamu" (kuongoza farasi) ni picha ya utawala kwa ajili ya Yahwe wa Senakeribu. "Nitakutawala kama mnyama."

nitakurudisha nyuma kwa njia iliyoijia

Kwamba Senakeribu atarudi nyumbani kabla hajaweza kuishinda Yerusalemu inaweza kuwekwa wazi. "Nitakufanya kurudi katika nchi yako mwenyewe kama ulivyokuja, bila kuishinda Yerusalemu."