sw_tn/2ki/19/10.md

616 B

Maelezo ya Jumla:

Huu ni ujumbe ambao Mfalme Senakaribu wa Ashuru aliutuma kwa Mfalme Hezekia.

Asikudanganye Mungu wako unayemwamini, kusema

"Usimwamini Mungu wako unayemwamini. Anadanganya wakati asemapo"

mkono wa mfalme wa Ashuru

"mkono" ni picha ya utawala, mamlaka au nguvu. "utawala wa serikali ya Ashuru"

Ona, umesikia

"Tazama, umesikia" au "Yamkini umesikia" (UDB). Hapa "ona" ilitumika kuleta usikivu kwa kile alichokuwa anataka kukisema.

Kwa hiyo je utaokoka?

Senakaribu alitumia hili swali kusisitiza kwamba Mungu hataweza kuwaokoa. "Mungu wako hatakuokoa" au "Hutaweza kukimbia popote"