sw_tn/2ki/18/24.md

583 B

Maelezo ya Jumla:

Rabshake anaendelea kusema ujumbe kutoka kwa mfalme wa Ashuru kwa watu wa Mfalme Hezekia.

Wanawezaje kumpinga hata nahodha mmoja wa watumishi walio wadogo?

Aliuliza hili swali kusisitiza kwamba jeshi la Hezekia halina rasilimali kupigana' "usingelishinda kundi la maaskari walioamriwa na afisa wake mdogo."

Je nimesafiri kwenda huko juu bila Yahwe kupapigania hapa mahali na kupaharibu?

Anauliza hili swali kusisitiza kwamba Yahwe yu nyuma ya rasilimali zake kutii amri kuiangamiza Israeli. "Yahwe mwenyewe alituambia kuja hapa na kuiangamiza hii nchi!"