sw_tn/2ki/18/19.md

854 B

Maelezo ya Jumla:

Rabshake anaendelea kusikiliza ujumbe kutoka mfalme wa Ashuru kwa watu wa Mfalme Hezekia.

Nini chanzo cha ujasiri wako? Sasa unamtumainia nani? Nani anakupa ujasiri wa kuasi dhidi yangu?

Mfalme wa Ashuru (kupitia mjumbe wake Rabshake) hajauliza haya maswali kutafuta majibu, lakini kutaka kumfanya shaka ya Mfalme Hezekia mwenyewe na msaada wa Misri. "Usimwamini kila mtu yeyote. Ulikuwa mjinga kuasi juu yangu."

kutembelea fimbo ya mwanzi huu uliopondeka wa Misri

Mfalme wa Ashuru analinganisha Misri kutembelea fimbo, unatajia hiyo itakusaidia wakati unapoiengemea, lakini badala yake itavunjika na kukukata. "msaada dhaifu kutoka Misri"

lakini kama mtu ... na kumtoboa

huyu mnenaji anaeneza picha kwa kueleza kilichotokea mwanzi unapotumika kama msaada. "lakini kama mtu atumiapo hii kwa ajili ya msaada, atajeruhiwa"