sw_tn/2ki/18/04.md

334 B

Maelezo ya Jumla:

Hadithi ya utawala wa Mfalme Hezekia inaendelea.

Aliziondoa mahali za juu, akaiharibu nguzo ya jiwe, akaikata hiyo nguzo ya Ashera

"Hezekia aliziondoa mahali za juu za kuabudu, akaziangusha kuwa vipande vipande mawe ya kumbukumbu, na kuzikata nguzo za miti za Ashera"

Nehushtani

"Sanamu ya Joka la shaba"