sw_tn/2ki/17/39.md

407 B

Maelezo ya Jumla:

Ufupisho sasa unaishia na ombi kumwabudu Yahwe pekee na maelezo ya dhambi za watu.

Hawatasikiliza

"Sikiliza" ni picha ya kuvuta usikivu na kutenda juu ya amri. "Hawakutii"

haya mataifa yalimwogopa Yahwe

Haya mataifa yalimwogopa Yahwe pekee kuelekea kumpendeza vile vile kama walivyoitenda miungu yao.

hata leo

"Siku hi" ni picha kwa ya kipindi ambacho mwandishi alichoishi.