sw_tn/2ki/17/29.md

390 B

Sakoth Benithi ... Nergali ... Ashma ... Nibhazi ... Tartaki ... Adrameleki ... Anameleki

Haya ni majina ya miungu, wote wakiume na wakike.

Kuthahi ... Hamathi

Haya ni majina ya mahali.

Waavi ... Sefarvaimu

Haya ni majina ya makundi ya watu.

wakawachoma watoto wao katika moto

"wakawatoa dhabihu watoto wao wenyewe" (UDB) au (wakawachoma watoto wao katika moto kama dhabihu"