sw_tn/2ki/17/19.md

509 B

Maelzo ya Jumla:

Mhutasari wa huku ya Yahwe unaendelea juu ya Israeli pamoja na jinsi Yuda alivyojisikia kwenye kuabudu sanamu.

Yuda

Mahali "Yuda" ni picha kwa ajili ya watu waishio huko. "watu wa Yuda"

aliwatesa

"Yahwe aliwaadibu Waisraeli"

kuwatia kwenye mkono wa wale wenye kuwateka nyara

"Mkono" ni picha ya kwa ajili ya utawala, nguvu au mamlaka. "kuwapeleka juu ya wale walio waibia mali zao"

hadi atakapokuwa amewatupa usoni mwake

"uso wake" ni picha kwa ajili ya umakini na kujali.