sw_tn/2ki/17/16.md

588 B

Maelezo ya Jumla:

Muhtasari wa hukumu ya Yahwe juu ya Israeli unaenedelea.

sanamu za kusubu

Sanamu za kusubu ni vitu vilivyotengenezwa kwa kuchemsha chuma kuwa umbo (au finyanga) kutengeneza umbo.

uchawi

"uchawi" (UDB)

wakajiuza wenyewe kufanya yale ambayo yalikuwa maovu usoni pa Yahwe

"Kujiuza wenyewe" ni picha kwa ajili ya kufanya kabisa kufanya yale yaliyo maovu. "kufanya wenyewe kufanya mambo ambayo Yahwe alisema yalikuwa maovu"

kuwaondoa usoni mwake

"Uso" ni picha ya kuwa ndani uangalifu wa Yahwe hivyo hawajali tena. "kuwaondoa kutoka kwenye uangalizi wake"