sw_tn/2ki/17/14.md

336 B

Maelezo ya Jumla:

Muhtasari wa hukumu wa Yahwe juu ya Israeli unaendelea.

walikuwa wakaidi

Hawakuwa tayari kufuata sheria za Mungu na kumtegemea Yahwe kama Mungu wao.

walikataa maagizo yake

Walikataa kutii shiria za Yahwe.

Walifuata mambo yasiyofaa

Walifuata mambo ya watu waliowazunguka.

kutokufuatisha

"kutonakili"