sw_tn/2ki/17/09.md

269 B

Maelezo ya Jumla:

Hadithi inaendelea kufupishwa hukumu ya Yahwe juu ya Israeli.

juu ya kila mlima mrefu na chini ya kila mti wa kijani

Huu ni ueneaji kuonyesha kwamba kuabudu miungu wa uongo ilienea. "juu ya milima mirefu na chini ya miti ya kijani kila mahali"