sw_tn/2ki/17/07.md

344 B

Maelezo ya Jumla:

Maelezo ya kuacha mhutasari wa hukumu ya Yahwe juu ya Israeli.

Huu uhamisho

Hii inarejea kwa mateka wa Israeli na Waashuru.

mkono wa

"Mkono" ni picha ya utawala, malmlaka au nguvu. "utawala wa"

kutembea katika mazoezi

"Kutembea" ni picha ya njia au mfumo wa tabia watu hutumia katika maisha yao. "kufanya kazi"