sw_tn/2ki/17/01.md

521 B

Hoshea mwana wa Elahi

Hoshea akawa mfalme wa ufalme wa kaskazini ya Israeli.

Elahi

Hili ni jina la mwanamume.

Alitawala Samaria

Samaria ilikuwa mji mkuu wa Israeli.

uovu katika uso wa Yahwe

Hakutii sheria za Yahwe kama alivyopewa na Musa. "Katika uso wa " ni mfano kwa ajili ya hukumu au maoni. "uovu kwa Yahwe"

Hoshea akawa mtumishi na kumletea kodi

Hoshea akafanya kama Mfalme wa Ashuru alivyomwamuru na kumletea pesa ili kwamba Mfalme asiiangamize Israeli.

Shalmanesa

Hili ni jina la mwanamume.