sw_tn/2ki/16/19.md

523 B

je hayajaandikwa ... Yuda?

Hili swali lilitumika pengine kuwajulisha au kuwakumbusha wasomaji ambao habari kuhusu Yothamu ipo katika hiki kitabu kingine. "yaliandikwa katika Kitabu cha matukio ya Wafalme wa Yuda."

Ahazia akalala na wazee wake

Kulala inawakilisha kufa. "Ahazia akafa kama wazee wake walivyokufa" au "kama wazee wake, Ahazia alikufa"

na alizikwa pamoja nao

"na watu walimzika pamoja na wazee wake"

akawa mfalme katika mahali pake

Hili neno "katika mahali pake." "akawa mfalme badala ya Ahazi"