sw_tn/2ki/15/34.md

769 B

yale yaliyosahihi machoni mwa Yahwe

Neno "macho" sitiari kwa uso wa Yahwe, ambaye ni sitiari kwa ajili ya hukumu ya Yahwe. "yaliyo sahihi katika hukumu ya Yahwe"

mahali pa juu hapakuwa pameondolewa

"hakuna mtu aliyepaondoa mahali pa juu" au "Yothamu hakuwa na mtu yeyote wa kupaondoa mahali pa juu"

hapakuondolewa

Kuondolewa inawakilisha kuharibiwa. "hapakuharibiwa"

Yothamu alijenga lango la juu

"Yothamu alipajenga" inawakilisha Yothamu kuwafanya watenda kazi kuijenga. "Yothamu alikuwa na watenda kazi wake wakijenga lango la juu"

je hayajaandikwa ... Yuda?

Hili swali linatumika ama kuwajulisha au kuwakumbusha wasomaji kwamba hiyo habari kuhusu Yothamu ipo katika hiki kitabu kingine. "yameandikwa katika Kitabu cha Matukio ya Wafalme wa Yuda."