sw_tn/2ki/15/29.md

44 lines
1.3 KiB
Markdown

# Katika siku za Peka mfalme wa Israeli
Inaweza kuelezwa wazi kwamba hii inarejea kwenye wakati wa utawala wa peka. "Katika siku za utawala wa Peka mfalme wa Israeli" au "Kipindi wakati ambao Peka alikuwa mfalme wa Israeli"
# Tiglath Pileseri
Katika Biblia 2 Wafalme huyu mtu alikuwa akiitwa "Puli"
# Iyoni ... Abel Beth Maaka ... Yanoa ... Kadeshi ... Hazori ... Gileadi ... Galilaya ... Naftali
Haya ni majina ya miji au mikoa.
# Akawachukua watu kwenda Ashuru
Hapa "Yeye" inarejea kwa Tiglathi Pileseri na inamuwakilisha yeye na jeshi lake. Kuwabeba watu wa Ashuru. "Yeye na jeshi lake waliwalazimisha watu kwenda Ashuru
# watu
Inaweza kuwekwa wazi hawa ni watu wa namna gani. "wata wa hayo maeneo" au "watu wa Israeli"
# Hoshea ... Ela
Haya ni majina ya kiume
# njama
Njama ni mpango wa siri kwa kundi kufanya madhara kwa mwingine au kitu.
# Alimshambulia na kumuua
"Hoshea alimshambulia na kumuua"
# akawa mfalme katika mahali pake
Neno "katika mahali pake" ni sitiari inayomaanisha "badala yake." akawa mfalme badala ya Peka"
# katika mwaka wa ishirini wa Yothamu mwana wa Uzia
Inaweza kuelezwa wazi kwamba huo ni mwaka wa ishirini wa utawala wake. "Katika mwaka wa 20 wa utawala wa Yothamu mwana wa Uzia"
# yameandikwa katika Kitabu cha Matukio cha Wafalme wa Israeli
"mnaweza kuyasoma katika Kitabu cha Matukio ya Wafalme wa Israeli"