sw_tn/2ki/15/25.md

543 B

Peka ... Remalia

Haya ni majina yakiume.

njama dhidi yake

"mpango wa siri kumuua Pekahia"

watu hamsini

"watu 50"

Argobu ... Arie

Haya ni majina yakiume.

ngome ya nyumba ya kifalme

"sehemu ya ngome ya nyumba ya mfalme" au "sehemu salama katika nyumba ya mfalme"

akawa mfalme katika mahali pake

Neno "katika mahali pake" ni sitiari inayomaanisha "badala yake" "kuwa mfalme badala ya Pekahia"

yameandikwa katika Kitabu cha Matukio ya Wafalme wa Israeli

"mnaweza kuyasoma katika Kitabu cha Mtukio ya Wafalme wa Israeli"