sw_tn/2ki/15/15.md

383 B

njama aliyoifanya

"njama" "mpango." Inaweza kuelezwa wazi hii njama ilikuwa nini. "alipangaje kumuua Mfalme Zekaria" na jinsi gani alimuua Mfalme Zekaria"

yameandikwa katika Kitabu cha Matukio ya Mfalme wa Israeli

"mnaweza kuyasoma katika Kitabu cha Matukio ya Wafalme wa Israeli"

Tifsa

Hili ni jina la mji. Baadhi ya matoleo yana "Tapua," ambalo ni jina la mji mwingine.