sw_tn/2ki/15/10.md

605 B

Shalumu ... Yabeshi

Haya ni majina wanaume.

Zekaria

"Mfalme Zakaria"

Ibleamu

Hili lilikuwa jina la mji.

Kisha akawa mfalme katika mahali pake

"Kisha Shalumu akawa mfalme katika mahali pa Zekaria"

yameandikwa katika Kitabu cha Matukio ya Wafalme wa Israeli

"mnaweza kuyasoma katika Kitabu cha Matukio ya Wafalme wa Israeli"

Kisha akawa mfalme katika mahali pake

"Kisha Shalumu akawa mfalme katika mahali pa Zekaria"

Uzao wako utaketi juu ya kikti cha Israeli hata kizazi cha nne

Kukaa juu ya kiti inawakilisha kuwa mfalme. "Uzao wako utakuwa wafalme wa Israeli kwa vizazi vinne"