sw_tn/2ki/14/28.md

455 B

Je hayajaandikwa katika Kitabu cha matukio ya Wafalme wa Israeli?

Hili swali limetumika kumkumbusha msomaji kwamba matendo ya Yehoyazi yamehifadhiwa katika kitabu kingine. "yameandikwa katika Kitabu cha matukio ya Wafalme waa Israeli.

Yeroboamu akalala na wazee wake, pamoja na wafalme wa Israeli

Hii ni njia ya heshima kusema kwamba alikufa na alizikwa. "Yeroboamu akafa, na alizikwa walipokuwa wamepelekwa wafalme wengine wa Israeli walipozikwa"