sw_tn/2ki/14/20.md

32 lines
849 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Hivi ndivyo ilivyotokea baada ya kifo cha Mfalme Amazia.
# Wakamrudisha juu ya farasi
"Wakaurudhisha mwili wa Amazia juu ya farasi"
# Watu wote wa Yuda wakamchukua Azaria, ambaye alikuwa na umri wa miaka kumi na minne, na walimfanya kuwa mfalme katika nyumba ya kifalme wa baba yake Amazia
Hii inajumiosha. Baadhi watu wanaweza wasimtake kuwa mfalme. "Watu wa Yuda walimchukua Azaria akiwa na miaka 16 na kumfanya kuwa mfalme baada ya baba yake, Amazia"
# Alikuwa Azaria aliyeijenga Elathi
Azaria hakulifanya hili peke yake. "Alikuwa Azaria aliyemwagiza Eliathi kujengwa" au "Alikuwa Azaria aliyesimamia kujengwa tena kwa Eliathi"
# Azaria
Huyu mfalme anafahamika sasa kwa jina la Uzia."
# Eliathi
mji mmoja katika Yuda
# kuirudishia Yuda
"kuirejesha ka Yuda"
# kulala na wazee wake
Hii ni heshima kusema alikufa.