sw_tn/2ki/14/13.md

699 B

Maelezo ya Jumla:

Hii ni jinsi ilivyotokea baada ya jeshi la Israeli kulishinda jeshi la Yuda huko Bethi Shemeshi.

Akaja ... Akachukua

Hapa "Yeye" inarejea kwa Yehoashi na jeshi lake. "Yehoyashi na jeshi lake wakaja ... maaskari wa Yehoyashi wakachukua"

lango la Efraimu ... pembe ya lango

Kuna majina ya malango katika ukuta wa Yerusalemu.

dhiraa mia nne

"kama mita 180"

dhiraa

Ridhaa moja ilikuwa kama sentimita 46.

pamoja na mateka pia, na kurudi Samaria

Hii inaonyesha kwamba Yehoyashi alihitaji kuchukua hawa mateka kumlinda Amazia asitekwe tena. Hii inaweza kuwekwa wazi. "na pia walimchukua baadhi ya wafungwa kuhakikisha kwamba Amazia asingewasababishia matatizo tena