sw_tn/2ki/14/08.md

1.2 KiB

Kisha Amazia akatuma wajumbe kwa Yehoashi mwana wa Yehoahazi mwana wa Yehu mfalme wa Israeli, akisema, "Njoo, tuonane kila mmoja macho kwa macho kwenye mashinadano."

Hapa "kila mmoja" kujumuisha na majeshi yao. "Kisha Amazia akapeleka wajumbe kwa Mfalme Yehoashi wa Israeli, akisema, "Njooni hapa tuyaache majeshi yetu yapigane katika vita" (UDB)

"Mbaruti uliokuwa Lebanoni ulituma kwa mwerezi katika Lebanuni ... umeanguka chini ya mbaruti

Hili ni neno la picha na fumbo. Mti wa mkangazi ni mkubwa na mbaruti ni mdogo na usio na thamani. Yehoashi anajilinganisha yeye na mkangazi na Amazia na mbaruti na kumuonya Amazia asimshambulie.

mbaruti

"kichaka chenye miba"

akisema, "Mtoe binti yako kwa mwanangu kuwa mke;

Hii nukuu ya moja kwa moja inaweza kuelezwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja. "kuuliza mkangazi kumtoa binti yake kwa mbaruti mwana wa mke"

Umemshambulia Edomu sana

Hii ni sehemu ya onyo la ujumbe wa Yuda kwa Amazia. "Amazia, umeishinda Edomu kabisa"

moyo wako umekuinua

Hii ni lugha ambayo inayorejea kuwa na kiburi. "una kiburi kwa kile ulichokifanya"

Chukua sifa katika ushindi wako

"Ridhika na ushindi wako"

kwa nini unataka kujisababishia matatizo na kuanguka

Yehoashi anatumia hili swali kumuonya Amazia asimshamulie.