sw_tn/2ki/13/20.md

28 lines
632 B
Markdown

# Sasa
"Wakati ule"
# mwanzoni mwa mwaka
"kila mwaka majira ya machipuko" (UDB)
# Walipokuwa wakimzika mtu flani
"Kama baadhi ya Waisraeli walipokuwa wakiuzika mwili wa mtu"
# waliona kundi la Wamoabu
Inaweza kuwekwa wazi kwamba walikuwa wakiogopa Wamoabu. "waliona kundi la Wamoabu washambuliaji wakija kuwaelekea na waliogopa"
# kaburi la Elisha
"kaburi ambalo Elisha alizikwa"
# Mara yule mtu alipoigusa mifupa ya Elisha
Hapa "mtu" inarejea kwa maiti yake. Hii inaweza kuwekwa wazi. ""Mara alipokufa mwili wake uliigusa mifupa ya Elisha"
# alifika na kusimama kwa miguu yake
"maiti ya mtu ilifufuka na kusimama juu"