sw_tn/2ki/13/17.md

790 B

Maelezo ya Jumla:

Elisha anaendelea kuongea na Yoashi, mfalme wa Israeli.

Fungua dirisha upande wa mashariki

"fungua dirisha lielekee mashariki" au "fungua hilo dirisha kuelekea mashariki" (UDB)

hivyo alilifungua

Tangu hii ilipotokea baada ya Yoashi kuchukua upinde na mishale, inaweza kuwa alikuwa mtumishi wa kufungua dirisha.

akarusha

"Yoashi akarusha mshale"

Huu ndiyo mshale wa ushindi wa Yahwe, huu mshale wa ushindi juu ya Shamu

Mahusiano kati ya mshale na ushindi unaweza kuwekwa wazi. "Huu mshale ni alama kutoka kwa Yahwe ambao atakupatia ushindi juu ya Shami"

Afeki

Huu ulikuwa mji katika nchi ya Israeli.

Lakini mtu wa Mungu alikuwa na hasira naye

"Lakini Elisha alikuwa na hasira na Mfalme Yoashi"

hadi ulipoingamiza

"hadi ulipoiangamiza kabisa"