sw_tn/2ki/13/12.md

730 B

na shujaa wake ambaye aliyepigana dhidi ya Amazia mfalme wa Yuda

"na nguvu ambayo jeshi lake ilionyesha wakati walipokuwa wakipigana juu ya jeshi la Amazia mfalme wa Yuda"

je hayakuandikwa kwenye kitabu cha matukio ya wafalme wa Israeli?

Hili swali linatumika kumkumbusha msomaji kwamba matendo ya Yehoahazi yaliandikwa katika kitabu kingine. Taza jinsi ambavyo ilivyotafsiriwa katika 1:17. "yameandikwa katika kitabu cha matukio ya wafalme wa Israeli."

Yehoashi akalala na babu zake

"Hii ni njia ya heshima kusema Yehoashi amekufa.

Yeroboamu alikaa juu yakiti chake

Hapa "alikaa juu ya kiti chake" inarejea kutawala kama mfalme. "Yeroboamu akawa mfalme baada ya yeye" au "Yeroboamu akaanza kutawala baada ya yeye"