sw_tn/2ki/13/10.md

28 lines
1.0 KiB
Markdown

# Katika mwaka wa thelathini na saba wa Yoashi mfalme wa Yuda
mwaka wa saba wa Yoashi mfalme wa Yuda - "Baada ya Yoashi kutawala Yuda kama miaka 37"
# utawala wa Yoashi mwana wa Yehoashi ulianza juu ya Israeli katika Samaria
"Yehoashi mwana wa Yehoahazi alianza kutwala juu ya Israeli katika Samaria"
# Yehoashi
Huyu alikuwa mfalmew aIsraeli ambaye alikuwa mwana wa Yehoahazi.
# Alifanya yaliyo maovu usoni mwani Yahwe
Hapa "uso" unawakilisha mwazo wa Yahwe au hukumu. "Alifanya mambo ambayo Yahwe aliyoyafikiria kuwa uovu"
# Hakuacha nyuma dhambi zake zozote za Yeroboamu
Kuacha kufanya dhambi inzungumziwa kana kwamba aliacha dhambi nyuma" Hii inaweza kuelezwa katika muundo chanya. "Yoashi hakuacha kutenda dhambi kama Yeroboamu" "Yoashi aliendelea kufanya dhambi kama dhambi za Yeroboamu"
# ambayo aliifanya Israeli kuasi
"ambayo Yeroboamu aliifanya Israeli kuasi"
# lakini alitembea katikati yao
Kutenda dhambi kunzungumziwa kana kwamba alikuwa akitembea karibu na njia ya dhamb. "lakini Yoashi anaendelea kufanya dhambi hizi hizi"