sw_tn/2ki/13/06.md

16 lines
729 B
Markdown

# hawakuziacha dhambi za nyumba ya Yeroboamu
Kuacha kufanya dhambi kunazungumziwa kana kwamba waliondoka kutoka kwenye dhambi. "Israeli hawakuacha kufanya dhambi zile zile kama Yerobamu alizokuwa amezifanya" au "Israeli iliendelea kufanya dhambi zile zile kama Yeroboamu alizokuwa amezifanya"
# nyumba ya Yeroboamu
"familia ya Yeroboamu"
# aliwaangamiza
"alilishinda jeshi la Yehoahazi"
# kuwafanya kama makapi yaliyopurwa
Jeshi la Washami liliwashinda moja kwa moja jeshi la Israeli ambacho kilichokuwa kimebaki hakikuwa na thamani ambacho kinalinganishwa na makapi ya ngano ambayo wafanya kazi hutembea kwenye kipindi cha mavuno. "aliwaangamiza kama wafanyakazi waangamizavyo makapi chini ya miguu yao wakati wa mavuno"