sw_tn/2ki/12/19.md

496 B

je hayakuandikwa kwenye kitabu cha matukio ya wafalme wa Yuda?

Hili swali linatumika kumkumbusha msomaji kwamba haya mambo yamerekodiwa. "yameandikwa katika kitabu cha historia ya Wafalme wa Yuda."

Sila

Eneo la hii sehemu haijulikani.

Yozakari ... Shimeathi ... Yehozabadi ... Shomeri ... Amazia

Haya ni majina ya wanaume.

pamoja na baba zake

"katika jumba la kifalmeambapo baba zake walipokuwa wamezikwa (UDB)

akawa mfalme katika mahali pake

"akawa mfalme wa Yuda aliyefuata"