sw_tn/2ki/12/15.md

730 B

hazikuzihitajika zile pesa zilipwe kwa ajili ya matengenezo ili kuhesabiwa kwa ajili ya watu waliozipokea nakuzilipa kwa watenda kazi

Hii inaweza kuelezwa katika muundo tendaji. "hawakuwataka watu waliopokea pesa na kuwalipa watenda kazi kwa ajili ya kukarabati kuhesabu pesa"

kuwajibika kwa ajili ya

kuendelea kuhifadhi ni kiasi gani cha fedha kilichokuwa kimepokewa na kutumika

pesa kwa ajili ya matoleo ya hatia na pesa kwa ajili ya matoleo ya dhambi hazikuwa zimeletwa kwenye hekalu la Yahwe

Inaelezwa kwamba hizi pesa hazikutumika kwa ajili ya ukarabati. Hii inaweza kuelzwa katika muundo tendaji. "hawakutumia pesa kutoka kwenye sadaka za hatia na sadaka za dhambi kulipa kwa ajili ya kukarabati hekalu la Yahwe"