sw_tn/2ki/12/06.md

384 B

karibu na mwaka wa ishirini na tatu wa Mfalme Yoashi

mwaka wa tatu wa Mfalme Yoashi* - "wakati Yoashi alipokuwa mfalme kwa miaka ishirini na tatu"

Kwa nini hujakarabati kitu chochote kwenye Hekalu?

Yoashi anauliza hili swali kuwakemea makuhani. "Mlitakiwa muwe mmekarabati hekalu!"

wapatie wale ambao wanweza kufanya ukarabati.

"kulipa watenda kazi watakaofanya ukarabati"