sw_tn/2ki/12/04.md

345 B

pesa zote zilizokuja kama sadaka takatifu kwenye nyumba ya Yahwe

Hii inazirejea pesa ambazo watu huto kusaidia hekalu. Hizi pesa huja katika miundo mitatu ambayo zimeelezwa katika mwisho wa sentensi.

pesa zilizoletwa na watu zilimuhasisha Yahwe katika mioyo yao kutoa

Hii inazirejea pesa ambazo watu waliamua kuzitoa kwa uhuru kwa Yahwe.