sw_tn/2ki/11/15.md

16 lines
571 B
Markdown

# mamia ya makamanda
Hii inarejea kwa maafisa waliosimamia walinzi wa kifalme na walinzi wa nyumba ya kifalme.
# Mtoeni kwenye safu
Safu ni mistari au mstari wa maaskari.
# Yeyote amfuataye
Inadokeza kwamba mtu aliyemfuata atakuwa anajaribu kumsaidia. "Yeyote anayemfuata kujaribu kumuokoa"
# wakamtwaa kadiri walivyokuwa wakiikaribia hiyo sehemu iliyokuwa na farasi wakaingia chini, na akauawa huko
Baadhi ya matoleo yanatafsiri hii kama "walinzi wakamtwaa na kumchukua hadi kwenye jumba la kifalme, hadi kwenye jumba la kifalme ambapo farasi huingia kwenye ua."