sw_tn/2ki/11/13.md

729 B

sauti ya mlinzi

Hii inarejea kwenye sauti iliyotengenezwa na maaskari wote.

alikuja kwa watu katika nyumba ya Yahwe

"alikuja mahali ambapo watu walipokuwa wakikusanyika kwenye hekalu"

Alitazama, na, tazama, mfalme alikuwa amesimama

Hapa "tazama" inasisitiza kwamba alishangazwa kumuona Yoashi. "Wakati alipofika, alishangazwa kumuona Mfalme Yoashi amesimama"

karibu na nguzo

"karibu na moja ya nguzo za hekalu"

kama utamaduni ulivyokuwa

"ambapo ilikuwa kawaida jumba kwa ajili mfalme kusimama"

tarumbeta

watu ambao wachezao tarumbeta

Athalia alirarua mavazi yake

Alirarua mavazi yake kuonyesha kwamba alikuwa alikuwa amekasirika sana na hasira.

Uhaini! Uhaini!

"Wewe ni mhaini! Umenisaliti!" (UDB)