sw_tn/2ki/11/07.md

629 B

Maelezo ya Jumla:

Yehoyada anaendelea kutoa mwelekeo kwa maaskari ambao watamlinda Mfalme Yoashi.

kwa ajili ya mfalme

Walitakiwa waendelee kuangalia kwa lengo la kumlinda mfalme kuumizwa. "ili kumlinda Mfalme Yoashi"

Yeyote aingiaye ndani ya safu yako

Safu inarejea mstari wa maaskari. "Yeyote aingiaye kwenda nyuma yako wakati unamlinda Mfalme Yoashi"

acha auawe

Hii inaweza kuanza katika muundo tendaji. "lazima umuue"

Lazima mkae pamoja na mfalme kila atokapo na kila aingiapo

Haya mambo mawili ya kinyume ni uaminifu ambayo yanarejea kwa kila kitu mfalme afanyacho. "Lazima ukae karibu na mfalme mda wote"