sw_tn/2ki/10/34.md

746 B

je hayakuandikwa kwenye kitabu cha matukio ya wafalme wa Israeli?

Hili ni swali lisilohitaji majibu linaloweza kuandikwa kama sentensi. "yameandikwa kwenye Kitabu cha matukio ya Wafalme wa Israeli."

Yehu akalala na wazee wake, na walimzika katika Samaria

Hii inamaanisha kwamba yehu alikufa. Hii inazungumzia yeye kuzikwa walipozikwa wazee wake kana kwamba alikuwa amelala pamoja nao. "Yehu akafa na kuzikwa katika Samaria, ambapo pia walizikwa wazee wake."

Yehoahazi

Hili ni jina lwa mwanamume.

Mda ambao Yehu alitawala juu ya Israeli katika Samaria ulikuwa miaka ishini na nane

miaka ishirini - "Yehu alitawala juu ya Israeli katika Samaria kwa mda wa miaka ishirini na nane"

miaka ishirini na nane

miaka minane - "miaka 28"