sw_tn/2ki/10/23.md

971 B

akawaambia wamwabuduo Baali

"na Yehu akawaambia watu waliokuwa katika hekalu kumwabudu Baali"

lakini wamwabuduo Baali pekee

"lakini wale wanaomwabudu Baali wako hapa"

Kama mtu yeyote miongoni mwa hawa watu ambao nimewaleta kwenye mikono yenu atoroke

Hapa "mikono" ya watu inarejea kwa "utawala" wao. Kwa kuwa katika lindo kuzunguka hekalu walikuwa katika utawala wa lindo na ilikuwa juu yao eidha watu waliweza kutoroka au hapana. "Kama mmoja wa hawa watu niliowaleta katika utawala wako wakitoroka" au "Kama yeyote katika hawa watu walio ndani wakitoka"

yeyote atakayemwacha huyo mtu atoroke, maisha yake yatachukuliwa kwa ajili ya yule aliyeokoka

"tutamuua yule mtu aliye mwachia aondoke"

uhai wake utachukuliwa

Hii ni njia ya heshima kumrejea mtu aliyeuawa. "tutachukua uhai wake" au "tutamuua"

kwa kuwa wa yule

"katika kubadilishana uhai wa uyo mtu" Hapa huyu mtu inarejea kwa "uhai" wake, kusisitiza kwamba hakuwa amekufa. "kwa kuwa huyo mtu"