sw_tn/2ki/10/15.md

868 B

Yonadabu mwana wa Rekabu

Hili ni jina la mwanamume.

Je moyo wako uko na mimi, kama moyo wangu ulivyo pamoja na wako? ... "ndiyo."

Hapa "moyo" wa mtu inarejea kwa uaminifu wao. Kama uaminifu wa mtu uko "pamoja na mtu," inamaanisha kwamba ni waaminifu kwa hao watu. "utakuwa mwaminifu kwangu, kama nitakavokuwa mwaminifu kwako? ... 'ndio."'

Kama ipo, nipatie mkono wako

"Kama ni hivyo weka mkono wako ndani yangu" au "Kama ni hivyo, tushikane mikono" Katika tamaduni nyingi, wakati watu wawili washikanapo mokono, inaimarisha makubaliano yao.

na uone wivu wangu

Neno "wivu" unaweza kuelezwa kama kivumishi. "na tazama jinsi nilivyo na wivu"

safu ya familika ya kifalme

"familika yote ya kifalme"

kama walivyokuwa wameambiwa kabla ya neno la Yahwe, ambalo aliloambiwa Eliya

"kukamilisha unabii ambao Eliya alikuwa ameunena, ambao yahwe aliwapatia"