sw_tn/2ki/10/01.md

20 lines
626 B
Markdown

# zao sabini
"zao 70"
# Yehu aliandika barua na kuwatuma kwenda Samaria
Hii inamaanisha kwamba Yehu alituma mjumbe kupeleka barua. "Yehu aliandika barua na kumtuma mjumbe kuzipeleka Samaria"
# kusema, "Wa bwana wako
"Barua zilisema, 'Ya bwana wako"
# kumuweka juu ya kiti cha kifalme cha baba yake
Hapa, kumuweka juu ya kiti cha kifalme inamaanisha kuteuliwa kama mfalme. "kumfanya mfalme katika mahali pa baba yake"
# kwa ajili ya safu ya ufalme wa bwana wako
"uzao wa bwana wako" Hapa huyo mtu ambaye waliye mchagua kuwa mfalme anarejewa kwa safu ya uzao ufalme wa Ahabu. "kulinda uzao wa bwana wako" au "kumlinda"