sw_tn/2ki/09/35.md

887 B

hawakumkuta ila

"hawakumkuta ila mwili wake"

viganja vya mkono wake

Kiganja ni sehemu ya ndani ya mkono.

Mtishibi

Hii inarejea kwa mtu kutoka mji wa Tishbi.

mwili wa Yezebeli utakuwa kama kinyesi juu ya uso wa mashamba katika nchi ya Yezreeli, kwa hiyo basi hakuna atakayeweza kusema

Hii inazungumzia vipande vya mwili wa Yezebeli kutawasambaa katika shamba kana kwamba walikuwa kinyesi kilichosambazwa katika shamba. Tangu vipande vya mwili wake vilipokuwa vidogo na kutawanyika hapakuwa na kitu ambacho kingeweza kukusanywa na kuzikwa. "vipande vya mwili wa Yezebeli utatawanyika kama kinyesi katika mashamba, ili kwamba pasiwe na mtu atakayeweza kuitambua na kusema"

kinyesi

"mbolea" Hii inarejea dhaihiri kwenye kwa kinyesi kilichotumika kama mbolea.

basi hakuna atakayeweza kusema, "Huyu ni Yezebeli."

"basi hakuna atakayeweza kueleza huyu alikuwa Yezebeli."