sw_tn/2ki/09/33.md

632 B

Kumtupa chini

Yehu alimwambia towashi kumtupa Yezebeli nje ya dirisha.

Hivyo wakamtupa Yezebeli chini

Matowashi wakamtupa Yezebeli nje ya dirisha la juu akafa wakati alipopiga chini.

na Yehu akamseta chini ya miguu

Hii inamaanisha kwamba aliende farasi wake ambao walikuwa wakivuta gari lake kuseta mwili wake chini ya miguu yake"

Mtazameni

Neno "mtazameni" maana yake kutoa umakini kwa yeyote aliyewekwa wazi. "Sasa nenda kwa"

kwa kuwa ni binti wa mfalme

kwa kuwa Yezebeli alikuwa binti wa mfalme, ilikuwa lazima kumzika nabii wake. "kwa sababu alikuwa binti wa mfalme na kwa hiyo angezikwa inavyostahili" (UDB)