sw_tn/2ki/09/30.md

753 B

akapaka wanja macho yake, akatengeneza nywele zake vizuri

"kuweka mwonekano, alifanya nyele zake kuonekana nadhifu"

Unakuja kwa amani, wewe Zimri, bwana wako muuaji?

Yezebeli anatumia hili swali lisilo na majibu kumshtaki Yehu kwa kutokuja kwa amani. "Yamkini unakuja bila amani, wewe Zimri, bwana wako muuaji!"

wewe Zimri, bwana wako muuaji

Hapa Yezebeli anamuita Yehu "Zimri" kusema kwamba yeye ni muuaji. Zimri alikuwa kamanda wa jeshi la Israeli lililomuua mfalme wa Israeli kwa sababu alitaka kuwa mfalme. "umemuua bwana wako, kama Zimri alivyomuua bwana wake"

Zimri

Hili ni jina la mwanamume.

Ambaye yu upande yangu

"Kuwa juu ya upande wa mtu mwingine" maana yake kuwa mwaminifu kwao na kuwasaidia. "Ambaye aliye mtiifu kwangu"